Kinywaji cha Serengi ndiyo kilikuwa kinywaji maalumu ndani ya tamasha la Fiesta One Love usiku wa kuamkia leo, na kila chupa iliuzwa kwa punguza la bei kwa ajili ya kuwajali wateja wake, yaani buku tu kwa kila chupa.! Lakini kama ujuavyo raha kamili hudumu zaidi na ni lazima ujipe wewe mwenyewee,.! serengeti, sereeeengetiii eeeehhhh ..
CHIDI BENZI AKA BASTER RYMES WA BONGO
CHIDI MTOTO WA ILALA AKIFANYA MAMBO
CHI CHI CHI....
Buster Rhymes kulia akimfariji Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga aliyenyanyua mkono juu, kutokana na kuondokewa na baba yake mzazi Marehemu Mzee Alex Kusaga ambaye ndiye alikuwa mwenyekiti wa kampuni hiyo mara baada ya kufanaya onyesho la kukata na shoka usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Posta Jijini Dar es salaam, Busta alifanikiwa kuziteka nyoyo za mashabiki kwa kiwango cha juu huku akisifu Tanzania na watu wake akisema ni watu wazuri wakarimu na akasema anafurhishwa sana na umati wa mashabiki uliokuwa umejitokeza kwenye tamasha hilo la Fiesta One Love 2009.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga alisema anamshukuru sana Buster Rhymes kwa kujali na kuwa na moyo wa huruma kwani onyesho hilo lilikuwa lifanyike Novemba 7 likaahirishwa kutokana na msiba huo hata hivyo Buster Rhymes alikubali kuja kufanya onyesho Novemba 21 pamoja na kazi zake nyingi akamshukuru sana na akasema onyesho hilo analitoa kama Dedication kwa Marehemu baba yake
Mwanamuziki Busta Rymes kutoka nchini Marekani (katikati) akitoka kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu J.K.Nyerere mara baada ya kuwasili uwanjani hapo kwa dege ya shirika la ndege la Emirates jioni hii, Busta amekuja kuwashika mashabiki wake nchini katika tamasha kubwa la Fiesta linalofanyika leo kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es salaam ambapo pia wasanii mbalimbali watapanda jukwaani kuonyesha uwezo wao katika tamasha hili ambalo ndiyo kubwa zaidi na hufanyika kila mwaka , wanamuziki wengi wa kimataifa kutoka sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakialikwa kuja kuonyesha kazi zao na kuburudisha mashabiki wao, Busta ni mmoja wa wanamuziki wanaoheshimika nchini Marekani kutokana na uwezo wake kimuziki
mwanamuziki maarufu na chipukizi ambae ndoto zake za mafanikio zilionekana tu pale alipoingia katika gemu la muziki toka Ugandan bibie Rachel Kiwanuka, ambaye anaishi California kwa sasa amesema kuna uwezekano wa kuvunja mipaka ya muziki na kusonga katika anga za kimataifa ikiwa latest single yake ya kimataifa aliopiga na wanamuziki wawili wakubwa ikifanikiwa kuingia katika chati ya Billboard.
Rachel K aioongea na jarida la drums kutoka Carlifoania na kusema kuwa alikuwa amefanya featured ya R & B na mwanamuziki Keri Hilson na kwa sasa anakamilisha sigle hiyo mpya kwa kumshirikisha pia nyota wa Senegal Akon kumbuka binti huyo amewahi kushinda tuzo ya Grammy.
''alidai kuwa Sisi tu takamilisha kurekodi wimbo na Akon na Keri Hilson. Wimbo ambao nimeuita ''Oh Afrika'',. I hope mungu akijali
Rachel, ambaye miezi michache iliyopita aliiambia mtandao la Drum kwamba alikuwa matawi katika music, anaishi na ndugu yake Hemdee Kiwanuka katika huko Califonia. Hemdee ni promoter ambae anasimamia kazi za mdogo wake lakini pia ameweza kusimamia na kutangaza matamasha mbali mbali ya nchini Uganda na Tanzania.
Yeye ndie alie kuwa na imani na mdogo wake na aliamini kuwa Rachel akiwahusisha kina Keri Hilson na Akon atafanya vizuri zaidi. Vipi wewe unandugu yako unadhani unaamini nacho kifanya na unampa support gani.
Kayamba Africa ni bendi kubwa sana na wanamuziki wakongwe ambao katika muziki wao hujumuisha aina mbali mbali ya muziki ukiwa na vionjo vya jadi kutoka makabila mbali mbali kulingana na tamaduni zao ambapo wameweza kuchukua vionjo toka kwa na Waluhya, Kalenjin, Waluo, Wamaasai na makabila mbali mbali katika kuweka ladha ya muziki na kuendeleza tamaduni za asili.
Kayamba Afrika, ni kundi linalojulikana kwa jadi yao ya muziki, kwa sasa n wanajiweka sawa kwa ajili ya uzinduzi wa albamu yao ya nne walioipa jina la 'Dhahabu' ambapo shuhuli hii itafanyika Ijumaa (20.11.09) katika Club Galileo, Westlands.
ikiwa ni CD yenye track 13 ulitayarishwa katika Sub-Sahara Studio mjini Nairobi.
"kwa mujibu wa wao wenyewe wamedai kuwa kuipa jina hilo la Dahabu katika album ni mjumilisho wa hits dhahabu ambayo tunaamini mashabiki wao nchini kote na duniani wata ufaidi,"
kiongozi wa kundi na mwanzilishi Juma Odemba aliiambia bambataa kuwa . Kayamba Afrika ni anajulikana sana kwa idadi ya melodies za jadi kufanyika kutoka tamaduni mbalimbali ikiwa ni pamoja wale ambao nimewataja hapo awali .
Mtanange wa saba wa tamasha la Sauti za Busara ambalo hufanyika Zanzibar kila mwaka itakuwa ni kuanzia tarehe 11 hadi 16 Februari 2010; hakutakuwa na kiingilio kwa watakaoingia kabla ya saa kumi na moja.
Sauti za Busara ni tamasha la kimataifa ambalo linautambulisha na kuutangaza muziki wa Afrika Mashariki, na ambalo hufanyika katika kila wiki ya pili ya mwezi wa Februari kila mwaka kisiwani Zanzibar.
kwa habari zaidi na matukio endelea kufuatilia blog yako ya bambataa.
WASANII WATAKAO SHIRINI NI
Wasanii waliohakikishaThandiswa (South Africa) > Fresh Jumbe & African Express (Tanzania / Japan) > Simba & Brown Band (Mozambique) > Isaac Blackman & The Love Circle (Trinidad & Tobago) > Nyota Ndogo (Kenya) > Jimmy Omonga (DRC / NL) > Jhikoman (Tanzania) > Mzungu Kichaa (Denmark / Tanzania) > Tunda Man (Tanzania) > Makadem (Kenya) > Ikwani Safaa Musical Club ft Tamalyn Dallal (Zanzibar / USA) > Del & Diho (Mayotte) > Obibase (Guinea) > Mari Boine (Norway) > Dawda Jobarteh (The Gambia) > Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden) > Xova (UK) > Massar Egbari (Egypt) > Debo Band (Ethiopia / USA) > Bamba Nazar & The Pilgrimage (Suriname / NL) > Joel Sebunjo & Sundiata (Uganda) > Juliana Kanyomozi (Uganda) > Maureen Lupo Lilanda (Zambia) > Nass Makan (Egypt) > Tausi Women's Taarab (Zanzibar) > Mim Suleiman (Zanzibar / UK) > Kunja Dance Theatre (Kenya) > Swifatui Abraar Group (Tanzania) > DJ Eddy (Zanzibar) > DJ Yusuf (UK / Zanzibar) > Sowers Group (Tanzania) > Best of WaPi (Tanzania) > Sosolya Dance Academy (Uganda) > Mapacha Africa (Kenya) > Sinachuki Kidumbak (Zanzibar) > Shirikisho Sanaa (Zanzibar) > Tunaweza Band (Tanzania) > KVZ Tupendane (Pemba) > Keita & Swahili Vibes (Zanzibar) > Maia Von Lekow (Kenya) na wengineo.
MAPACHA WANNE - CHOKORAA, CHAZ BABA, JOSE MARA NA KALALA JNR
WAMEJIPANGA KUFANYA MAAJABU YA KUTIKISA ULIMWENGU WA MUZIKI NCHINI TANZANIA KWA KUTAMBULISHA ALBAMU YAO TAR 30/11/09 KATIKA UKUMBI WA KINONDONI STEREO. WANAOMBA SAPPORT KWA MASHABIKI WA MUZIKI WA DANCE
NDANI NA NJE YA NCHI
haya tena mimi binsfi naomba kwanza kwa kuanza kusema hongera hiki ndio ambacho tunataka kutoka kwa vijana wetu ambao na sie tunajivunia kuona tuna kizazi kipya cha dance hakika naamini kuwa mtafanya mapinduzi makubwa sana ya kuziki ni jambo la heri na niwazo la busara sana kuona vijana wetu mnatambua thamani ya muziki wetu kujiunga kwenu kunaonyesha ni dhahiri kuwa sasa mmeingia vitani na ninaamini mtapambana vilivyo ili kuleta mabadiliko ya kimuziki hapa kumbuka mnapambana na wengi naamini mtakuwa na umoja na ushirikiano na pia mashabiki wenu najua wanangoja kwa hamu kubwa kazi zenu keep it up brothers KWA PAMOJA TANZANIA TUNAWEZA na TUTWAFUNIKA PIA MAKA HUU.
Na hii ni studio yetu ya pili ambayo itakuwa ikiendeshwa kisasa kabisa,mara baada ya kila kitu kukamilisha muda mfupi ujao"Sebastian Maganga akimueleza Youssou Nd'our jana mchana
Mkurugenzi wa Clouds Media Group / Prime Time Promotions Bw.Joseph Kusaga akizungumza jana mchana ofisini kwake Mikocheni jijini Dar na Mwanamuziki nyota wa kimataifa toka nchini Senegal, Youssou Nd'our
Celebrated Senegalese African music star Youssou N'Dour turned 50 years in Dar es Salaam during the Mo Ibrahim Foundation Prize for Achievement in African Leadership event last Saturday (14.11.09) at Mlimani city in Dar es Salaam.
And though there was no cake to cut, the Mo Ibrahim Foundation paid special tribute to the music icon terming him as a living legend.
N'Dour was one of the entertainers invited to perform during the event. He was joined by Benin's African star Angelique Kidjo, Sudanese star Emmanuel Jal and Tanzanian singer Lady Jay Dee.
The three stars left dignitaries and VIPs dancing and singing along to their hits.
Angelique Kidjo, who also doubled as MC, put up a strong stage presence performing some of her classics and songs off her latest album Djin Djin. She got the crowd singing along and dancing to her tunes.
N'Dour and Kidjo also performed together.
Some of the high profile guests included President Jakaya Kikwete, former Botswana President Sir Ketumile Masire, Zanzibar's Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha, Mo Ibrahim and former UN Secretary General Dr Salim Ahmed Salim.
Also present were UN Habitat boss Prof. Anna Tibaijuka, Executive Secretary of the International Conference on the Great Lakes Region Ambassador Liberata Mulamula and President of the African Development Bank Dr. Donald Kaberuka.
The Executive Secretary of the Mwalimu Nyerere Foundation Mr. Joseph Bitiku and Tanzania's Minister for Livestock Development and Fishery Hon. John Pombe Magufuli also attended the concert, along with former Zanzibar Chief Minister Dr. Ghalib Bilal and Inkosi Mangosuthu Buthelezi, the veteran South African Zulu politician who is the leader of the Inkatha Freedom Party.
ukweli ni kuwa nilikuahidi kwamba baada tu ya vidio ya Kende kaka kukamilika ningekupa mambo haya kazi kwako uliona picha sasa umefika wakati wa kuona vidio husika ya De plaizir ukimaliza plz niachie comment ili tujue nini cha kurekebisha kabla vidio haija ingia katika big screen wadau.